Hekima Yetu

Kileleta cha Ubora

About us

We are  educational consultants and publishers specializing in Kiswahili and other African languages. we have a team of refined and dedicated authors and editors.

Kutuhusu
Mbali na kutoa ushauri kuhusu elimu, tunajihusisha na uchapishaji. tumejikita katika taaluma ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika. tunaangazia Fasihi na isimu ya lugha hizi za Kiafrika. tuna timu ya waandishi na wahariri waliobobea na kujitolea kwa kazi yao.

Contact us [anwani zetu]

Email: shiundumukenya@gmail.com
            shiundumukenya@yahoo.com
Phone: 0710539797 [Samuel Shiundu]
BOX 1386
KANGUNDO
90115

Kenya

BARUA YA MAMA ASKOFU ni mkusanyiko wa hadithi zinazoshughulikia maudhui mbalimbali katika jamii na ambayo yamepuuzwa na wanafasihi wa kisasa.

Katika Fasihi nyingi za kisasa, wanafasihi wengi wanaendelea kuyatalii maudhui ya utandawazi na na teknohama huku wakiyapuuza maswala ya uchawi, utamaduni wa kiafrika, unafiki wa kidini, mifumo ya jadi ya utawala, umaskini na kwa jumla, mazingira ya utamaduni wa mwafrika wa vijijini.

Nyingi za hadithi katika diwani hii zinahoji ukweli kuwa, japo maudhui haya yanafikiriwa kutokuwepo tena, au yanachukuliwa kupitwa na wakati, ukweli ni kuwa yangali hai katika ulimwengu wa mwafrika wa kawaida.

YALIYOMO DIWANINI

Utangulizi

Maana ya hadithi fupi

Asili na usuli wa Hadithi Fupi

Historia ya Hadithi Fupi

Hadithi Fupi ya Kiswahili

Sifa za hadithi fupi

Uchambuzi wa hadithi fupi.

1.    Barua ya Mama Askofu

2.    Kasubiri Kofi ya Panga

3.    Mbwa Mwitu Zizini

4.    Mwalimu wa Zamu

5.    Ujira wa Mama Shangwe

6.    Wajukuu wa Babu Ruksa

7.    Ufirauni wa Muungano

8.    Siku ya Wanyonge

9.    Hitama ya Profesa

Shiundu Mukenya ni mwalimu na ashiki wa Kiswahili. Mbali na diwani hii, mwalimu Shiundu akishirikiana na kaka Osinya wameandika miongozo mbali mbali ya kazi za Fasihi. Kazi nyingine za mwalimu Shiundu ni Uchambuzi wa Mashairi, Daftari la Fasihi, Dafina ya Lugha: Msururu wa vitabu vya marejeleo ya K.C.S.E, Misingi ya Lugha, Mbinu za Utunzi na Uhariri, Daftari la Insha, Utenzi wa Unabongo (na Juma Mohammed), Fimbo ya Musa, Cheche za Utemi miongoni ma nyingine nyingi.

Shiundu ameshirki katika vipindi mbalimbali vya lugha kikiwemu Darubini ya Lugha kwenye Fish F.M na Dafina ya Lugha kwenye M.U F.M